We provide Kodi Kiganjani online (apkid: com.memtechnologies.kodi.kiganjani) in order to run this application in our online Android emulator.


Description:

Run this app named Kodi Kiganjani using MyAndroid.
You can do it using our Android online emulator.

Great app to get Tax notification and helps you to fill your Tax
KODI KIGANJANI ni application iliyobuniwa na kampuni ya MEM Technologies (IT Company) kwa kushirikiana na KINGSMAN ASSOCIATES (Tax consultancy) Kupitia mradi huu kila Mtanzania atakuwa na fursa ya kupata huduma kulingana na mahitaji yake.
HUDUMA ZIPATIKANAZO KWENYE APPLICATION HII
1.
TAARIFA ZA KODI MBALIMBALI (Tax News)
2.
USHAURI (consultancy) 24/7
3.
KUKUMBUSHWA KULIPA KODI MBALIMBALI (Tax Payments Notifications)
4.
HATUA ZA KUFUNGUA KAMPUNI (BRELA/TRA/Municipal)
5.
KUKOKOTOA CHA KODI (Tax Calculator)
6.
KALENDA YA KODI (Tax Calendar)
Faida za mradi huu ni pamoja na kuokoa muda kwa walipakodi, kutoa fursa kwa wananchi kuelewa zaidi kuhusiana na kodi na changamoto zao,pia kufanikisha watu kulipa kodi zao pasipo kuchelewa au kukwama.
Huduma ya KODI KIGANJANI itapatikana wakati wote masaa 24/7 .
KODI KIGANJANI inaleta mapinduzi katika namna ya utoaji wa huduma za kodi nchini kutokana na hatua kubwa iliyofikiwa katika teknolojia ya habari na mawasiliano.

MyAndroid is not a downloader online for Kodi Kiganjani. It only allows to test online Kodi Kiganjani with apkid com.memtechnologies.kodi.kiganjani. MyAndroid provides the official Google Play Store to run Kodi Kiganjani online.

Page navigation:

©2024. MyAndroid. All Rights Reserved.

By OffiDocs Group OU – Registry code: 1609791 -VAT number: EE102345621.