We provide Tenzi za Rohoni (Toleo Jipya). online (apkid: com.lk.tenzizarohoni) in order to run this application in our online Android emulator.
Description:

Run this app named Tenzi za Rohoni (Toleo Jipya).
using MyAndroid.
You can do it using our Android online emulator.
Tenzi za Rohoni Toleo Jipya Kimeboreshwa sasa Unaweza kusoma Nyimbo za injili 161 bila kuwa na intaneti (Offline)
App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.
App hii ina nyimbo za dini 138 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni.
Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini, unaweza kusoma na kusikiliza ala (audio) za nyimbo za injili bila kuwa na intaneti (Offline)
Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3: 16
FEATURES
Tenzi za Rohoni 138 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
Kuongeza ukubwa wa maandishi
Kuchagua aina ya fonti za aya
Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti
Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

MyAndroid is not a downloader online for Tenzi za Rohoni (Toleo Jipya).. It only allows to test online Tenzi za Rohoni (Toleo Jipya). with apkid com.lk.tenzizarohoni. MyAndroid provides the official Google Play Store to run Tenzi za Rohoni (Toleo Jipya). online.
©2024. MyAndroid. All Rights Reserved.
By OffiDocs Group OU – Registry code: 1609791 -VAT number: EE102345621.