We provide Afya Comedy online (apkid: com.afyacomedy.bongotweets) in order to run this application in our online Android emulator.


Description:

Run this app named Afya Comedy using MyAndroid.
You can do it using our Android online emulator.

Afya comedy ni jukwaa maalumu la ucheshi lenye lengo la kukuelimisha kuhusiana na maswala mbalimbali ya Afya kwa njia ya vichekesho kutoka kwa wachekeshaji mbalimbali.
-Jukwaa hili linatengeneza maudhui katika njia ya mijadala kwa namna ya kumvutia kila mmoja kusikiliza na kupokea ujumbe kwa kile anachohitaji kufahamu kuhusu afya yake pamoja na magonjwa mbali mbali.
-Katika jukwaa hili kila mmoja mwenye uwezo wa kuchekesha atapata nafasi kushiriki, lengo pia ni kuinua vipaji na kuwatengenezea vijana ajira katika nyaja hii ya sanaa.
-Mbali na ukurasa huu pia kipindi hiki kinaonekana kupitia TVE Tanzania kila jumatano saa 3: 30 usiku, marudio ni alhamis saa 9: 30 na jumapili saa 10: 30 Alasiri
-Kwa msaada, maoni na ushauri wasiliana nasi kupitia: +255757180994.
Asante kuwa sehemu ya maendeleo yetu

MyAndroid is not a downloader online for Afya Comedy. It only allows to test online Afya Comedy with apkid com.afyacomedy.bongotweets. MyAndroid provides the official Google Play Store to run Afya Comedy online.

Page navigation:

©2024. MyAndroid. All Rights Reserved.

By OffiDocs Group OU – Registry code: 1609791 -VAT number: EE102345621.